Uwekezaji
Uwekezaji
Uwekezaji.
Nakupa nyumba Za kuvunja zipo yumba nne.
Nyumba 2 zinaangalia Morogoro Road 2 zipo nyuma.
Hizi nyumba Ni Za familia moja wanauza Kwa pamoja.
Hati za makazi.
Hakuna mgogoro wowote ule.
Bei ni Milion 900
mazungumzo yapo Kwa waanafamilia.
Nipigie simu nikupeleke ukapaone 0754693556