Uwekezaji wa kilimo cha mdalasini

Uwekezaji wa kilimo cha mdalasini

Nehemia One

Member
Joined
Jun 23, 2020
Posts
25
Reaction score
18
Miche ya mdalasini inauzwa
2600/@
+255762967548

Kampuni ya Nehemia One Co Ltd inajukumu la kufanya wawekezaji kufikia ndoto zao. Kutokana na uzoefu wa soko la MDALASINI ndani na nje ya nchi tumekuletea fursa kwenye upande huu. Uhitaji wa mdalasini unazidi kupanda thamani Hadi kufikia Dola billion 1.15 kwenye soko la dunia Kwa mujibu wa shirika la utafiti la persistence research.
 
Back
Top Bottom