Uwekezaji wa kulima Mpunga na kufanya usambazaji

Uwekezaji wa kulima Mpunga na kufanya usambazaji

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Habari wana JF,

Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu.

Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji, kuvuna, kuhifadhi, kuwauzia wateja wa jumla wataokuja shambani kwako na wewe mwenyewe kusambaza katika mikoa yenye uhitaji wa mchele.

Ningependa kujua faida, changamoto na vya kuzingatia katika aina hii ya uwekezaji.......
 
Back
Top Bottom