Tafuta maana ya uwekezaji na udhamini. Kwa mfano MO kwa miaka minne sasa anaipa support Simba ya karibia billion tatu kila mwaka. Maana yake mpaka sasa ameisha toa 12 B. Lkn ile 20 B iko pale pale.
Wewe wasema!Tafuta maana ya uwekezaji na udhamini. Kwa mfano MO kwa miaka minne sasa anaipa support Simba ya karibia billion tatu kila mwaka. Maana yake mpaka sasa ameisha toa 12 B. Lkn ile 20 B iko pale pale.
Bilion 20 ipo pale pale wapi ambapo hapana jina?Tafuta maana ya uwekezaji na udhamini. Kwa mfano MO kwa miaka minne sasa anaipa support Simba ya karibia billion tatu kila mwaka. Maana yake mpaka sasa ameisha toa 12 B. Lkn ile 20 B iko pale pale.
Kwenye account ya MOBilion 20 ipo pale pale wapi ambapo hapana jina?
Simba imekuwa sehemu yake ya kutengeneza faida, angalia jezi ya Simba imejaa matangazo yake tayari. Kwa hiyo hizo anazotoa hatoi kama charity.Tafuta maana ya uwekezaji na udhamini. Kwa mfano MO kwa miaka minne sasa anaipa support Simba ya karibia billion tatu kila mwaka. Maana yake mpaka sasa ameisha toa 12 B. Lkn ile 20 B iko pale pale.
Kwani nani kasema charity mi nimeongelea udhamini na uwekazaji, ningetaka kuongelea charity ningeongelea MO foundation. Uwe unasoma na kuelewaSimba imekuwa sehemu yake ya kutengeneza faida, angalia jezi ya Simba imejaa matangazo yake tayari. Kwa hiyo hizo anazotoa hatoi kama charity.
Ukifanya breakdown ya udhamini wa Azam ni kwamba Yanga atakua anapata karibia billion tatu kwa mwaka, kitu ambacho MO ameanza kutoa miaka minne nyuma, utasemaje uwekezaji sio udhamini wa MO wa billion 20 kwa mkupuo ni ubabaishaji. Naona wewe ndio mbabaishaji.Udhamini anaofanya AZAM sasa unakuwa kielelezo na kuwaonyesha wawekezaji uchwara kwenye michezo nchini. Mimi ni mpenzi wa Simba ila nia ya Mo Dewji kuwekeza Simba imekuwa kujijenga yeye zaidi kuliko timu.
Azam ametunyesha kuwa hisa 49 za Simba sio Bilioni 21 anazotaka kuweka Mo.