Uwekezaji wa Mo Dewji Simba na Udhamini wa Azam kwa Yanga

Hivii kukaa na hela zetu mfukoni mwake wakati anajiita mwekezaji nayo inahitaji elimu?
Unafikiri hela inawekwa tu kama kusukuma kete ya draft, au unafikiri hao azam wamepigiana tu sim na Yanga na wakaingiza hiyo hela kwenye Acc, uwekezaji wa Simba mpaka sasa haujakamilika kwenye makaratasi, Mo ataweka hela pale kila kitu kitakapo kamilika. Ndio maana wabongo wengi tunapigwa hela kwenye mikataba hata rahisi tu.
 
Ina maana Azam wameachana na timu yao ya Azam na kuhamia Yanga?
 

HALAFU YANGA NI TV TU IMECHUKULIWA HAKI ZAKE
 
Tafuta maana ya uwekezaji na udhamini. Kwa mfano MO kwa miaka minne sasa anaipa support Simba ya karibia billion tatu kila mwaka. Maana yake mpaka sasa ameisha toa 12 B. Lkn ile 20 B iko pale pale.
Iyo bill.12 unayosema anatoa kwa misingi ipi kwa kuwakopesha au anatoa tu kwa mapenzi yake? Maana kuna kamtego apo inasemekana bil.21 ametumia kwa miaka 4 na amewakopesha mnatakiwa muilipe
 
Sahihi kabisa. Kama 49% ina value ya 20Bil means 100% ni around 41Bil hivi. Sasa Ina maana Azam wangetaka wangetoa hizo 41bil kwa Simba kuinunua moja kwa moja, wakati kwa Yanga wanamiliki matangazo tu.

Yaani Value ya Matangazo peke yake tu ya Yanga inalingana na Value ya Simba nzima. Hapa ni either matatu, Simba imekua underrated, Yanga imekua overrated, au vyote kwa pamoja.
 
Bilion 20 ipo pale pale wapi ambapo hapana jina?
Si ile ya kwenye lile bango alilotuonyesha juzi, pale ndipo ilipo. Tukiihitaji ni kutafuta tu lile bango lilipo tunaitoa.
 
3b anazopata yanga ni haki za matangazo ya tv tu bado 49% ya hisa zake zipo palepale....kingine yanga ktk hizo 49% wana kipengele cha wawekezaji wa tatu ili mmoja asi monopoly like Mo. Lkn Mo pamoja na 49% yy ndio mwenyekiti wa board ya wakurugenzi wkt sisi wa 51% ndio tutoe mtu wetu...kanjibai anatuzingua.
 
Ina maana Azam wameachana na timu yao ya Azam na kuhamia Yanga?
Only Tv rights...anaochokifanya Senzo Yanga ndio angekifanya pale Simba lkn Mo hataki watu weledi anataka atukuzwe yeye tu.
 
Ukweli mchungu Ni kwamba Mo Ni tapeli mkubwa..namkubali katusudia lakini Hana Nia ya kutufikisha mbali..bali anataka kufikisha mbali biashara zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…