mkuu huo ni uwekezaji ila kwanini tusiwekeze kwenye bonds na bills ambako ni uhakika zaidi?
tatizo hizi biashara zimekuwa kinadharia zaidi yan ni ka kina bitcoin, na nyingine nyingi ambazo zimewah tokea na zinatokea ila binafsi napenda kushauri mtu awekeze katika vitu vilivyo halisi zaidi kuliko hizi industry, japo nakiri kunawatu wamepiga pesa sana na na wanaendelea kupiga, ila kwanini mkuu usijaribu bills japo faida si kubwa sana ila uhakika faida.Ukweli ni kwamba crypto currency inakuwa mara dufu unaweza invest $100 na ukapata zaid ya $10000 kutegemea na muda pamoja na coin husika jaribu kufatilia crypto industry
tatizo hizi biashara zimekuwa kinadharia zaidi yan ni ka kina bitcoin, na nyingine nyingi ambazo zimewah tokea na zinatokea ila binafsi napenda kushauri mtu awekeze katika vitu vilivyo halisi zaidi kuliko hizi industry, japo nakiri kunawatu wamepiga pesa sana na na wanaendelea kupiga, ila kwanini mkuu usijaribu bills japo faida si kubwa sana ila uhakika faida.
Nataka kufaham ukiachana na bitcoin, cryptocurrency gani ni affordable na inafuture nzuri ambayo unamushauli mtu awekeze.
Pia njia rahisi ambayo mtu atatumia ku make deposit and withdraw kwenye io cryptocurrency
sawa sawa mkuu mie naamini zaidi katika uhalisia, huko nitajitahidi kupata muda na elimu yake maana kujiwekea mipaka ni tatizo,Nakubali unachokisema lkn Hii industry inahitaji elimu kwanza ukipata elimu yake sahihi kwa mtu sahihi unaweza sema nilikuwa wapi siku zote.
Technologia inakuwa kwa speed sana na ndivyo evolution of money inavyotoka from fiat money to crypto naamini miaka 10 to 20 au zaid hizi paper money tutaanza kuzitafuta kwa tochi
Huko kwenye bills mm sina elimu nako isitoshe faida ni ndogo