Uwekezaji wa simba niwakipekee kabisa duniani.

Uwekezaji wa simba niwakipekee kabisa duniani.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Kwa elimu yangu ndogo katika maswala ya masoko ya mitaji na hisa najuwa kwamba uwekezaji kwa njia ya hisa ufata taratibu kazaa
Kwanza nilazima watafutwe wataalamu wakuthamanisha thamani ya timu, baada ya kujua value ya timu nakufata taratibu nyingine ikiwa nipamoja nakujuwa kiasi gani inataka kukusanya kutoka kwa wawekezaji ilikuweza kufahamu nikiasi gani cha hisa kiuzwe na kwa kiasi gani kwa kila hisa
Atua nyingine nikuziweka hisa sokoni tena soko la awali(primary market) ambapo tangazo utolewa kwenye vyombo vya habari ili wale wanaotaka kununua walipie pesa zao kadili ya uwezo wa mtu na hapa haijalishi sio lazima atakaye nunua hisa awe shabiki wa timu hiyo maana huu ni uwekezaji malengo hapa ni faida kwahyo ata shabiki wa yanga anaweza nunua hisa za simba
Mwisho kabisa baada ya hisa kuwa zimeuzwa kwenye primary market ( going public) club inaama kutoka kuwa club ya wanachama nakuwa club yawanahisa aliyenunua hisa nyingi ndio mmiliki mkuu na faida inayopatikana ugawanywa kwa usawa ila hisa zako ndo udertimine unapata gawio kiasi gani.
From there hisa usajiliwa kwenye secondary market ambapo yeyote anayetaka kununua nakuuza hisa zake anaweza kufanya hvyo kwenye soko ilo provided kwamba kuna huitaji wa mnunuzi na muuzaji. Sasa nauliza mm kama shabiki wa yanga nikitaka kuwekeza kwa njia ya hisa katika club ya simba hisa zao zinauzwa wapi?
 
Ngojea hisa za klabu yako zikianza kuuzwa nunua. Mfumo huu Simba wameubuni na wameona unafaa kwa mahitaji yao.
Hisa zitauzwa kwa wanachama wa Simba tu.
Wewe njoo na mfumo wako halafu tafuta timu ya mfumo wako huo.
Huu ni mfumo wa Simba na kudai wafuate mfumo uliozoea au unaotaka wewe ni wishfull thinking.
Zoezi limeanza miaka 2 iliyopita na
imebaki implementation hivyo kelele zako peleka kwingine.
 
Tusaidie kidogo "mtaalamu".
Hivi mmiliki wa Man City akitaka kununua hisa tuseme 49% za Manchester United .Manchester United wataziuza?Au kunakuwa na conflict of interest?
Kama jibu ni hapana kwanini?
Soko la hisa si huria?Au kunakuwa na kanuni za kulinda interest za anayeuza?
 
Mbona umepaniki bro kwanza vp kwenye kamati ukuchaguliwa?
 
Tusaidie kidogo "mtaalamu".
Hivi mmiliki wa Man City akitaka kununua hisa tuseme 49% za Manchester United .Manchester United wataziuza?Au kunakuwa na conflict of interest?
Kama jibu ni hapana kwanini?
Soko la hisa si huria?Au kunakuwa na kanuni za kulinda interest za anayeuza?
Tofautisha primary market na secondary market, wakati club inapotaka kukuza mtaji kwa mala ya kwanza kwa kitaalamu wanaita going public uko kila kitu kinawezekana ata kwa kutumia jina la ndugu nikihisi mtazinguwa kunihuzia.
 
Ila kumbuka kampuni ikifirisika timu inashushwa daraja...sipati picha Mikia wakicheza FDL
 
Dua la kuku.Vyura endeleeni na ujinga wa kutembeza bakuli. Mmeshindwa hata kufanya uchaguzi imebidi msimamiwe.
Halafu una uthubutu wa kuizungumzia timu nyingine.
Kweli ujinga ni maradhi.
 
"Mtaalamu" soma articles of association and shareholders' agreements mbalimbali.
 
Back
Top Bottom