Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Kwa elimu yangu ndogo katika maswala ya masoko ya mitaji na hisa najuwa kwamba uwekezaji kwa njia ya hisa ufata taratibu kazaa
Kwanza nilazima watafutwe wataalamu wakuthamanisha thamani ya timu, baada ya kujua value ya timu nakufata taratibu nyingine ikiwa nipamoja nakujuwa kiasi gani inataka kukusanya kutoka kwa wawekezaji ilikuweza kufahamu nikiasi gani cha hisa kiuzwe na kwa kiasi gani kwa kila hisa
Atua nyingine nikuziweka hisa sokoni tena soko la awali(primary market) ambapo tangazo utolewa kwenye vyombo vya habari ili wale wanaotaka kununua walipie pesa zao kadili ya uwezo wa mtu na hapa haijalishi sio lazima atakaye nunua hisa awe shabiki wa timu hiyo maana huu ni uwekezaji malengo hapa ni faida kwahyo ata shabiki wa yanga anaweza nunua hisa za simba
Mwisho kabisa baada ya hisa kuwa zimeuzwa kwenye primary market ( going public) club inaama kutoka kuwa club ya wanachama nakuwa club yawanahisa aliyenunua hisa nyingi ndio mmiliki mkuu na faida inayopatikana ugawanywa kwa usawa ila hisa zako ndo udertimine unapata gawio kiasi gani.
From there hisa usajiliwa kwenye secondary market ambapo yeyote anayetaka kununua nakuuza hisa zake anaweza kufanya hvyo kwenye soko ilo provided kwamba kuna huitaji wa mnunuzi na muuzaji. Sasa nauliza mm kama shabiki wa yanga nikitaka kuwekeza kwa njia ya hisa katika club ya simba hisa zao zinauzwa wapi?