Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Nyumba ni Bora zaidi, kwa sababu thamani ya ardhi inapanda Kwa Kasi. Kiwanja kilichouzwa M1 miaka 20 iliyopita sasa hivi mara 20 au 15.kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake . Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120 . Aliyewekeza kwenye Marketing fund zenye compund interest tsh 50M ndani ya miaka 20 ana zaidi ya milion 400 mtazamo wako niupi mdau tujifunze.
Logde au hotel nadhani ndiyo uwekezaji sahihi, hizo nyumba ni kutafuta lawama kwa wapangaji na ukerebishaji wa mara kwa mara kwa upande wa rangi.Mtazamo wangu mimi,nyumba ya kupangisha inafaa zaidi kwasabu,miji inakua hivyo lakitano ya nyumba kwa mwezi,ndani ya miaka 2 lazima iongezeke,hivyo inapanda thamani kila uchao
Laki 5 kwa mwezi vyumba vingapi?? Hssabu zako umezipitia mara mbili kweli??kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake . Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120 . Aliyewekeza kwenye Marketing fund zenye compund interest tsh 50M ndani ya miaka 20 ana zaidi ya milion 400 mtazamo wako ni upi mdau tujifunze.
Hicho kiwanja utakuwa umeokota mkuu pamoja na material yakujenga ama?Laki 5 kwa mwezi vyumba vingapi?? Hssabu zako umezipitia mara mbili kweli??
Milion 50 unajenga nyumba yenye vyumba vingi tena self lets say vyumba 10, kila kimoja kwa mwezi 150,000 kwa mkoa niliopo mimi hapo zidisha kwa mwezi vyumba vyote 10 ikiwa imejaa, 10x150,000 sh ngapi mwezi mmoja??
Maana yangu unakuwa tayari na kiwanja, kwa mkoa wangu milion 50 inatoshaHicho kiwanja utakuwa umeokota mkuu pamoja na material yakujenga ama?
Mkoa gani? Kwa Dar 50m huwezi jenga self 10?Maana yangu unakuwa tayari na kiwanja, kwa mkoa wangu milion 50 inatosha
Kupanga ni kuchagua maana hata usipojenga utaenda kupanga pia unless uwe mtumishi wa serikali unakaa nyumba za bure.kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake.
Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120.
Aliyewekeza kwenye Marketing fund zenye compund interest tsh 50M ndani ya miaka 20 ana zaidi ya milion 400 mtazamo wako ni upi mdau tujifunze.
Kwa dar sidhani ila kwa moro inawezekana kabisa.Mkoa gani? Kwa Dar 50m huwezi jenga self 10?
Nyumba ya mil 50 hauwezi kuipangisha kwa sh laki 5.kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake.
Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120.
Aliyewekeza kwenye Marketing fund zenye compund interest tsh 50M ndani ya miaka 20 ana zaidi ya milion 400 mtazamo wako ni upi mdau tujifunze.
Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120.
Hesabu mbovu sana hizi,,ukichukua 20 milioni ukagawanya kwa idadi ya miaka,miezi,na siku unapata huyu mtu alikua anaingiza shilingi ngapi kwa siku??Nyumba ni Bora zaidi, kwa sababu thamani ya ardhi inapanda Kwa Kasi. Kiwanja kilichouzwa M1 miaka 20 iliyopita sasa hivi mara 20 au 15.