Leo katika pita pita zangu manispaa ya singida kwenye kijiwe cha kahawa nimekuta wazee wa kiswahili wanabishana kuhusu nani anafaa kuwa raisi Tanzania kupitia ccm wakitaja wafuatao sitta, ,rowassa ;nchemba,makamba,membe;wasira; magufuri , kigwangara ,pinda,nyalandu,makamba,chenge,h.mwiny i,rostam',lukuvi,migiro,tibaijuka,bilali,ngereja,kinana., Wengine wakidai Nkapa aludi . Katika hii list kuna afadhari au ni kundi la kifo?
Mimi sio msomali,.
Ukweli umethibitikaDuh.....vijiwe vya kahawa huwa ni waongo waongo.
Wazee waliona mbaliWazee wa kahawa wanajadili anything to kill time
usikute uchaguzi ukija hawapigi kura kabisaa...