Uwepo na kutokuwepo kwa Fifpro kuna faida au hasara gani kati soka la Tanzania?

Uwepo na kutokuwepo kwa Fifpro kuna faida au hasara gani kati soka la Tanzania?

Sinoni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
6,581
Reaction score
11,572
Wadau na wanamichezo kama kichwa kinavyojieleza, nilikuwa nina haya machache ya kujuzwa kuhusu Fifpro!

1. Ni nini maana ya Fifpro na maudhui yake hasa katika mchango wa soka ?

2. je, ni vigezo gani nchi inapitia ili kuweza kuwa?

3. Je, nchi wanachama wananufaika vipi kisoka kutokana na kujiunga Fifpro?

3. Na kama itatokea Tanzania ikajiunga na Fifpro tutanufaika vipi katika kukuza soka letu ?

http://www.fifpro.org
 
Back
Top Bottom