Wadau na wanamichezo kama kichwa kinavyojieleza, nilikuwa nina haya machache ya kujuzwa kuhusu Fifpro!
1. Ni nini maana ya Fifpro na maudhui yake hasa katika mchango wa soka ?
2. je, ni vigezo gani nchi inapitia ili kuweza kuwa?
3. Je, nchi wanachama wananufaika vipi kisoka kutokana na kujiunga Fifpro?
3. Na kama itatokea Tanzania ikajiunga na Fifpro tutanufaika vipi katika kukuza soka letu ?
http://www.fifpro.org