MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Heshima kwenu wanajukwaa,
Katika kusoma kwangu tulipewa kazi ya kuongelea falsafa mbali mbali za duniani hapa hususani mtu alitakiwa aongelee any political and legal theory which is particular and universal to his country or continent and then how is it applied.
It was an easy job to the Americans wenyewe wakaongelea theory ya American Realism na mambo yakaenda.
Waingereza na nchi nyingi waliongelea Positivism, mjadala ulikuwa mkubwa sana kiasi ambacho Wanafunzi wamarekani walikatazwa wasizungumze tena kwa sababu walionekana kutetea baadhi ya mambo mabaya kama vita, adhabu ya kifo, torture na kadhalika.
Mimi nliitwa na Lecturer wangu mama moja ni Muingereza akaniambia wewe hutazungumzia theory yoyote ile ambayo wameitaja wenzako ila tunataka kusikia toka kwako Any Political or Legal theory which is particular to Africa and the way it is applied. Nilitaka kuzungumzia ujamaa Yeye akasema Ujamaa au Socialism is Alien to Africa. Kurahisisha kazi akasema nianzie pre-colonial Africa. Asee ilikuwa ni mwiba kwa sababu you can't find any of African legal theory in a book,....
Sasa wakati napresent hiyo paper darasa walikuwa very sceptic kwamba Africa had nothing that I can talk about.
Sasa mimi nlitaka kujua kama kuna any political and legal theory that is particular and universal to most of African states.
Nawasilisha