Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
Habari zenu wadau, kama tunavyofahamu maji ni sehemu kubwa ya sayari ambayo tunayoishi. Je, naomba tufahamishane kama maji tunayotumia ni yale yale tokea Dunia inaumbwa, au kuna maji mengine yamekuja?
Maji na yale yale tu hayaongezeki, yanachofanya ni kuhama tu kutoka reservoir moja kwenda nyingine (water cycle) Baadhi ya reservoirs ni bahari, maziwa, mito, anga,mimea, underground, wanyama, na barafu hasa zilizoko Actic na Antarctic. Tuyatunze maji haya yaliyopo hayaongezeki.
Yamekuja kutoka wapi ?
je? Yanapungua?maji na yale yale tu hayaongezeki, yanachofanya ni kuhama tu kutoka reservoir moja kwenda nyingine (water cycle) baadhi ya reservoirs ni bahari, maziwa, mito, anga,mimea, underground, wanyama, na barafu hasa zilizoko actic na antarctic. Tuyatunze maji haya yaliyopo hayaongezeki.
Bw.Mhe. MayungaHabari zenu wadau,
Kama tunavyofahamu maji ni sehemu kubwa ya sayari ambayo tunayoishi. Je, naomba tufahamishane kama maji tunayotumia ni yale yale tokea Dunia inaumbwa, au kuna maji mengine yamekuja?
je? Yanapungua?