Uwepo wa Mungu na uwezo wake,ulimwengu wa majini,ushirikina na kwa nini unakwenda mrama

HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
2,238
Reaction score
1,577
ndugu zangu wanaJF, Kwanza kabisa habari zenu.

Ndugu zangu nimepata kuona mada na maswali mengi tu kuhusiana hayo hapo kwenye kichwa cha thread. Na kimsingi hii si thread,bali ni taarifa tu kwenu kwamba natatajia kuzileta mada hapa ukumbini ili kupeana elimu katika masuala tajwa hapo juu.

Nitaweka mada moja baada ya nyingine. Nitaanza na UWEPO WA MUNGU NA UWEZO WAKE.
 
Tumekusubiri tangu jana with all in vain,.shusha hiyo ya kwanza mkuu
 
holaa...
haya shusha nyingine .....ungetulia weka mada yako . muda ukikamilisha unatoa. hakuna haja ya utangulizi au booking
 
Hana jipya..atakuja na quote za biblia na quaran...hana maelezo yatakayotokana na utafiti ama mawazo yake huyo.

Akija na hizo atakiona cha moto.
Lazima aukimbie uzi wake maana nitamuita hadi Kiranga 🙂
 
Ahahahaaaaa.....nilimuambia jana..kama ni suala la kuquote biblia na quaran sio issue maake hizo hadithi hakuna asiyezijua I,e tumekaririshwa toka utotoni.
 
Pia atakuwa sio wa kwanza kuzileta hapa jf.
 
ndugu zangu wanaJF, Kwanza kabisa habari zenu.

Ndugu zangu nimepata kuona mada na maswali mengi tu kuhusiana hayo hapo kwenye kichwa cha thread. Na kimsingi hii si thread,bali ni taarifa tu kwenu kwamba natatajia kuzileta mada hapa ukumbini ili kupeana elimu katika masuala tajwa hapo juu.

Nitaweka mada moja baada ya nyingine. Nitaanza na UWEPO WA MUNGU NA UWEZO WAKE.

Ukifanikiwa kuelezea hilo bila kuleta hadithi za kwenye biblia ama quaran,...basi utakuwa umefanikiwa kuushawishi umma wa hapa jamvini i,e JF kuwa wewe ni great thinker.
Kinyume na hapo ni bora ukae kimya bila kuleta hizo thread zako maake ni sawa na kujaza server tu.
 
Watu wanahitaji kile ambacho hawawezi kukipata....
 
Nadhani mmemtisha kumwambia asilete hadithi za kny biblia na Koran akagundua wanafunzi wanajua hicho wanachoambiwa watafundishwa kuliko yeye. Unategemea nini tena hapo kama sio mbio za hataree.
 
Back
Top Bottom