Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Oct 2, 2015 #21 Jimena said: Kwingine yupo sana ila hapa patakuwa pamemshinda Click to expand... Atakuwa kasoma nyuzi kama hizo alizotaka kuzileta, akalinganisha maswali na majibu akashikwa na tumbo joto.
Jimena said: Kwingine yupo sana ila hapa patakuwa pamemshinda Click to expand... Atakuwa kasoma nyuzi kama hizo alizotaka kuzileta, akalinganisha maswali na majibu akashikwa na tumbo joto.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,056 Oct 2, 2015 #22 aretasludovick said: Atakuwa kasoma nyuzi kama hizo alizotaka kuzileta, akalinganisha maswali na majibu akashikwa na tumbo joto. Click to expand... Hahahahahaha akaamua kula kona,
aretasludovick said: Atakuwa kasoma nyuzi kama hizo alizotaka kuzileta, akalinganisha maswali na majibu akashikwa na tumbo joto. Click to expand... Hahahahahaha akaamua kula kona,
HORSE POWER JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 2,238 Reaction score 1,577 Oct 11, 2015 Thread starter #23 Habari wanajf,nimeshaweka mada mbili humu lakini sijui tatizo ni nini mpaka leo mods hawajaziweka hapa jukwaani.Siwezi kuogopa watu kwa kutetea ninachoamini.
Habari wanajf,nimeshaweka mada mbili humu lakini sijui tatizo ni nini mpaka leo mods hawajaziweka hapa jukwaani.Siwezi kuogopa watu kwa kutetea ninachoamini.