Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Lete picha ya hizo lips...halaf ww ni me au ke???Kama mada inavyojieleza ngozi yangu ni maji ya kunde lakini nina lips nyeusi sana kiasi kwamba kila moja ananihisi kama natumia au aidha nishawahi kutumia bangi/sigara kitu ambacho sio kweli sijawahi kutumia pambe,bangi wala sigara hii hali inanikosesha sana amani na furaha.
Kwa anaefaham namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.
Afu nmekuja kugundua kuwa sio tu eti UKWELI UNAUMA hapana kwani HATA UONGO PIA UNAUMA.
Your dehydrated, unakunywa maji kiasi gani per day?Kama mada inavyojieleza ngozi yangu ni maji ya kunde lakini nina lips nyeusi sana kiasi kwamba kila moja ananihisi kama natumia au aidha nishawahi kutumia bangi/sigara kitu ambacho sio kweli sijawahi kutumia pambe,bangi wala sigara hii hali inanikosesha sana amani na furaha.
Kwa anaefaham namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.
Afu nmekuja kugundua kuwa sio tu eti UKWELI UNAUMA hapana kwani HATA UONGO PIA UNAUMA.
Kama ni mwanamke paka lipstickKama mada inavyojieleza ngozi yangu ni maji ya kunde lakini nina lips nyeusi sana kiasi kwamba kila moja ananihisi kama natumia au aidha nishawahi kutumia bangi/sigara kitu ambacho sio kweli sijawahi kutumia pambe,bangi wala sigara hii hali inanikosesha sana amani na furaha.
Kwa anaefaham namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.
Afu nmekuja kugundua kuwa sio tu eti UKWELI UNAUMA hapana kwani HATA UONGO PIA UNAUMA.