johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Team Lowassa inatumia Akili kubwa Sana
Sitashangaa Bashe akiwa Waziri mkuu na Pascal Mayalla akipata Ule Ukurugenzi alioukosa baada ya Laigwanan kukatwa
Siasa ni Sayansi π
Mlale Unono
Sitashangaa Bashe akiwa Waziri mkuu na Pascal Mayalla akipata Ule Ukurugenzi alioukosa baada ya Laigwanan kukatwa
Siasa ni Sayansi π
Mlale Unono