johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siasa ni Sayansi πINAWEZEKANA...
Mungu aepushe hilo maana bashe wa kabla ya uwaziri si bashe huyu wa sasa...Team Lowassa inatumia Akili kubwa Sana
Sitashangaa Bashe akiwa Waziri mkuu na Pascal Mayalla akipata Ule Ukurugenzi alioukosa baada ya Laigwanan kukatwa
Siasa ni Sayansi π
Mlale Unono
Kwahiyo Tanganyika haina Raia mwenye sifa ya kuongoza hadi tukabidhi nchi kwa Wasomali!.Team Lowassa inatumia Akili kubwa Sana
Sitashangaa Bashe akiwa Waziri mkuu na Pascal Mayalla akipata Ule Ukurugenzi alioukosa baada ya Laigwanan kukatwa
Siasa ni Sayansi π
Mlale Unono
Mbona Mbowe ni Mnyasa lakini tumemkabidhi Chadema? ππKwahiyo Tanganyika haina Raia mwenye sifa ya kuongoza hadi tukabidhi nchi kwa Wasomali!.
Mkuu chiembe , kuna mambo ni yetu, na kuna mambo sii yetu. As long as lengo ni kumsaidia,Pasco ameshajiroga baada ya uzi wake kwamba 2025 twende na mwanaume
Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Prophet of the doomMkuu chiembe , kuna mambo ni yetu, na kuna mambo sii yetu. As long as lengo ni kumsaidia,
Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.
Angalizo: Kama sauti HII
ni yake YEYE mwenyewe halisi na mhusika ameambiwa ila akatia pamba masikioni, kujifanya hajasikia, then kati ya 2025 na 2030, YEYE mwenyewe atasema nasi!.
Kazi iendelee!.
P
Blaza una mkwara na angalizo juuMkuu chiembe , kuna mambo ni yetu, na kuna mambo sii yetu. As long as lengo ni kumsaidia,
Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.
Angalizo: Kama sauti HII
ni yake YEYE mwenyewe halisi na mhusika ameambiwa ila akatia pamba masikioni, kujifanya hajasikia, then kati ya 2025 na 2030, YEYE mwenyewe atasema nasi!.
Kazi iendelee!.
P
Huo ni ukaburu sasa!Kwahiyo Tanganyika haina Raia mwenye sifa ya kuongoza hadi tukabidhi nchi kwa Wasomali!.