fungafunga
Senior Member
- Mar 30, 2010
- 116
- 155
Spice zinastawi sana katika mwinuko hivyo bhas uwe unajua Visiwa hasa pemba inasemekana iko juu yaani imeinuka lakini inapitwa na mkondo wa bahari wa baridi (Cold sea currents) ukiangalia Muheza au Lushoto ziko juu na mwisho Morogoro vijijini au Mvomero (katika majaribio) yote ni maeneo ya juu.Ndugu wanajamvi.
Naomba wataalamu wa kilimo wanijibu swali hili muhimu ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa miaka mingi. Kama karafuu inastawi vizuri unguja na pemba ambayo ni kisiwa chenye hali ya hewa na udongo unaofanana na pwani ya tanzania bara hasa mikoa ya Tanga, Lindi na Mtwara.
Hivi hakuna uwezekano zao hili likawa linastawi katika maeneo haya pia?