uwezekano wa kubadilisha chuo

uwezekano wa kubadilisha chuo

21kelvin

New Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Habar wadau. naomba msaada aisee nimechaguliwa kujiunga mzumbe first year kozi ya eductn w but nimepata wazo la kusoma Bachelor of edu AT duce . so naomba kuuliza kama inawezekan kubadilisha na kama inawezekana,. ,processes ni zipi.>?duce wanaanza tarehe 1 ya october....natanguliza Shukrani.
 
nenda ofisi za TCU watakusaidia tatizo lako, hiyo inawezekana kuhama chuo lakini lazima kule unako hamia kuwe na nafasi.
 
NINGAR big up,yan we ni msaada mkubwa humu jukwaan,yan kama customer care!ila nilikuwa tcu DUCE nafazi zimeisha jarib kuangalia vyuo vingine
 
NINGAR big up,yan we ni msaada mkubwa humu jukwaan,yan kama customer care!ila nilikuwa tcu DUCE nafazi zimeisha jarib kuangalia vyuo vingine

mwana jamaa vp mbona kimya hawatoi matokeo ya transfer?
 
dar thanks God me juzi nimehamishwa, freishy kwenda ifm Bscs, from UAUT comp.eng,
 
Brother,matokeo ya transifer,wengine wameshahamishwa,wengine wiki ijayo haifiki jtano!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom