Wakuu nimelipia gari last week, ila bado imeandikwa under offer.
Sasa kuna mambo yametokea yaliyo nje ya uwezo wangu, na hata gari ikija sitaweza kuitoa.
Kwa wenye uzoefu, je naweza cancel order na nikawa refunded? Je wanakata % ngapi ya nilicholipia!?
Natanguliza shukrani!!
Ni aina gani,na umelipa kiasi gani?Itabidi nifanye hivyo.. Maana nimecontact nao wamedai haiwezekani!
Ingekuwa Probox/Succeed ningeomba tuyajenge!Subaru impreza.. Cif 6m
Cha kufanya ongea na waagiza magari ikiwemo uwatembelee sbt ofisi zao pale posta muyajenge;wanaweza kukuconnect na mtu juu kwa juu because they do have massive database ya customers wanayoyahitaji;Pili miez hii miwili kasoro fanya online marketing u negotiate na watu hata mtu akikubali kulipia kodi akalitoa wewe uingie nae contract ya iliyobaki kwa kushikilia kadi original mpaka hela yako iishe kupitia lawyer na usifanye kienyeji,I will try kukuulizia kwa watu.But usisale pambana hela ni ngumu best usiiache ipoteeWakuu nimelipia gari last week, ila bado imeandikwa under offer.