Uwezekano wa kuchaguliwa kozi za afya

Uwezekano wa kuchaguliwa kozi za afya

Girland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2016
Posts
2,489
Reaction score
4,253
Mdogo wangu kapata matokeo ya DIVISION THREE ya pointi 22.Katika masomo yake amefeli somo la fizikia na hesabu (Physics and Mathematics) ana daraja "F",Kemia na baiologia(Chemistry and Biology) ana daraja "C" ,Masomo mengine ya Sanaa(Kiswahili, History, English Language, Geography) kafaulu pia.

Kwa matokeo hayo tajwa anaweza kuchaguliwa kozi za afya mf (Clinical Officer,Nursing,au Pharmacy) hasa katika vyuo vya government?

Naomba msaada wenu wanajamii🙏
 
una kipi cha kumshauri?
aende private(chuo) kozi ya pharmacy atakubaliwa (bio and chem) zinatosha ila zingine hadi physics mkuu ila math huwa ina add advantage
 
Kama ana mda arudie math na phy ndio apite kwa kozi zote za afya
 
All in all hapo kupata afya ni ngumu kote serikalini pia private Huwa zinaitajik minimum D tano za phy,chem,bio,math na English wengine uchukua SoMo lolot isipokua ya dini
 
All in all hapo kupata afya ni ngumu kote serikalini pia private Huwa zinaitajik minimum D tano za phy,chem,bio,math na English wengine uchukua SoMo lolot isipokua ya dini
Ana pass zaidi ya saba alipofeli ni kwenye fizikia na Hesabu (Physics and Basic Mathematics)
 
Mdogo wangu kapata matokeo ya DIVISION THREE ya pointi 22.Katika masomo yake amefeli somo la fizikia na hesabu (Physics and Mathematics) ana daraja "F",Kemia na baiologia(Chemistry and Biology) ana daraja "C" ,Masomo mengine ya Sanaa(Kiswahili, History, English Language, Geography) kafaulu pia.

Kwa matokeo hayo tajwa anaweza kuchaguliwa kozi za afya mf (Clinical Officer,Nursing,au Pharmacy) hasa katika vyuo vya government?

Naomba msaada wenu wanajamii[emoji120]
Apo atachaguliwa pharmacy tuu zingine awez pata
 
Je ukiwa na Biology B,

Chemistry C ,Phyiscis C, Ila Maths ndio una F inakuaje kiongozi ?
Duuh. Mswaki wa namba!!! Pharmaceutical calculations utapigaje mzee...

Nafikiri private wanakuchukua hapo Kwa advantage ya physics Kwa kuwa namba umezingua
 
Hapo pagumu kwann asiende alarisit math na physics alafu ndo aje aombe kozi hzo atapata ila asikimbilie chuo kwanza
 
Hakuna kozi ya afya atakayopata Kama Hajafaulu Physics vigezo vimebadilika.
 
Back
Top Bottom