aende private(chuo) kozi ya pharmacy atakubaliwa (bio and chem) zinatosha ila zingine hadi physics mkuu ila math huwa ina add advantageuna kipi cha kumshauri?
Ana pass zaidi ya saba alipofeli ni kwenye fizikia na Hesabu (Physics and Basic Mathematics)All in all hapo kupata afya ni ngumu kote serikalini pia private Huwa zinaitajik minimum D tano za phy,chem,bio,math na English wengine uchukua SoMo lolot isipokua ya dini
Apo atachaguliwa pharmacy tuu zingine awez pataMdogo wangu kapata matokeo ya DIVISION THREE ya pointi 22.Katika masomo yake amefeli somo la fizikia na hesabu (Physics and Mathematics) ana daraja "F",Kemia na baiologia(Chemistry and Biology) ana daraja "C" ,Masomo mengine ya Sanaa(Kiswahili, History, English Language, Geography) kafaulu pia.
Kwa matokeo hayo tajwa anaweza kuchaguliwa kozi za afya mf (Clinical Officer,Nursing,au Pharmacy) hasa katika vyuo vya government?
Naomba msaada wenu wanajamii[emoji120]
Nacte wamebadirisha vigezo.Pharmacy wanataka physics!Apo atachaguliwa pharmacy tuu zingine awez pata
Je ukiwa na Biology B,Nacte wamebadirisha vigezo.Pharmacy wanataka physics!
Duuh. Mswaki wa namba!!! Pharmaceutical calculations utapigaje mzee...Je ukiwa na Biology B,
Chemistry C ,Phyiscis C, Ila Maths ndio una F inakuaje kiongozi ?
wameona msoto wa afya ni nafuu kuliko ualimu ama sheriaAfya imekua kimbilio sikuiz😄😄😄 muhimu kupona
Mkuu weka tuvione vigezo vilivyobadlikaHakuna kozi ya afya atakayopata Kama Hajafaulu Physics vigezo vimebadilika.