mpe hi hapa 0712507817 itamsaidia si namba tu? Ila asiofu
Wana jukwaa naomba niwaulize mimi mdogo wangu alikua mgonjwa hivyo form iii akusoma vizuri alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo hivyo basi amekosa namba shuleni kwao ya kufanyia mtahani mwaka huu, naombeni kama kuna uwezekano wowote wa yeye kufanya mthani mwaka huu MSAHADA ANAYE JUA PLEASE