Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??
Wekaaa matokeoi yakee mbonasioo mchanganuajii wa mamboo na alisoma masomo ganii tumsaidiee mbona maelezo yakoo hayajitoshelezii
Ushaambiwa Ana Division Two Unataka Maelezo Gani Au Ubongo Wako Mkavu
Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??
Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??
Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??
pHx baadhi kama zipi? Comp.sc je
Sasa skia dogo nikuambie kitu, siku hizi kunavyuo vimerahisisha sana. Open University kuna kitu kinaitwa Foundation course hiyo unaingia ukiwa na form.Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??
Inategemea anataka kufanya nini yaani Degree gani anataka kuchukua..kuna baadhi inakubali kuenda kwenye diploma!
Nenda DIT, ATC au MIST ukitoka hapo unaingia kazini, na mshahara wako unafanana na mwenye degree. Kama ulisoma sayansi.