Uwezekano wa kutumia Transcript ya miaka miwil ya chuo kuapply kazi.

saly91

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
86
Reaction score
27
Habari za mida hii wanajamvi? Je kuna uwezekano wa kuajiriwa kokote kule either kwenye private sector au public sector ukiwa tu na matokeo ya miaka yako miwili uliosoma chuo.

Yaani kuna mwenzetu kapungukiwa ada ya kumalizia mwaka wa mwisho wa chuo anasomea bachelor ya accounting and finance na matokeo yake ya miaka yote miwil ni mazuri tu but hajasoma diploma katoka form six.

Je inawezekan akaajiriwa kokote kule na transcript yake ya 2 years??
karibuni wanajamvi mnipe mawazo yenu na njia atakazoweza kutumia kutimiza hili.
 
Transcript au provisional of results? Any way sina hakika kama anaweza ajiriwa maana anakuwa haja hitimu ile kozi. Mfano kwa walimu ukisoma miaka miwili na nusu shahada kisha ukasitisha kabla ya kumalizia semester ya 6 unaweza ukapewa provisional of results ya semester 5 lakini kwenye ajira hawaikubali. Kinachoombwa kwenye ajira huwa ni ama statement of results kama transcripts hazijatoka au academic transcripts na cheti kama kimetoka. Suala la matokeo ya miaka miwili siku hizi hakunaga.
 
so haiwezekani kutumia iyo transcript ya 2 years?au hadi njia za panya mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…