cacacuona
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 655
- 776
Kwa makala nyingi nilizozisoma sioni uwezekano wa kupata suluhu ya kumaliza mgogoro kati ya waparestina na waisrael(wayahudi) .hii inatokana na na asili ya mgogoro na references.zinazotumika kutatua mgogoro huu... Wapalestina wako sahihi kwa mujibu wa Sheria inayotumika leo katika mahakama za kimataifa ..na wanaitumia hii kuonyesha uhalali wa wao kuwepo Jerusalem.Lakini Wayahudi wao ushahid wao mkuu umejengwa katika kitabu kitakatifu ambacho wengi tunakijua kama biblia takatifu.wanaitumia kuonyesha kuwa wao ndio wakazi halisi ndio walioujenga huu Mji.
Kwa ukweli Mji huu ni Mji mtakatifu kwa dini tatu Uyahudj,uislam na ukristo.
Je kuna uwezekano wa umoja wa mataifa kuugawa huu Mji na kama upo uwezekano kwa kutumia Sheria ipi itakayokubaliwa na pande zote mbili?