Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Ndugu yangu inaonekana hukuniamini. Na ulifuatilia kwa kunikumbusha. Nafikiri umeona. JPM ameshinda kwa kishindo kikubwa. Sasa nakwambia JPM ataitengeneza Tanzania Kama Ulaya. Mung akubaliki kwa kunifuatilia.
Tuisome wote
 
Mkuu nakukumbusha tu kuwa ule uwezekano umeshatokea
 
Duh! Wewe ndio umechemka kabisa kumleta Ngoyai kwenye equation. Mtu ambaye yuko 'ICU' anawezaje kweli kugombea Urais?
Labda hujaona clipp yake ya hivi karibuni... Ngoyai keshajichokea. The best for him now ni kujiandaa kiroho kwa safari inayofuata...
Unajua macho ya binadamu huangalia mwili. Macho ya Mungu huchunguza Roho. Kuna mmoja mpaka leo yupo ICU kama ulivyo sema ila mwingine nadhani unajua aliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…