Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Utafikiria wewe ni Mungu sasa jamaa yako yupo wapi?
 
Duh! Wewe ndio umechemka kabisa kumleta Ngoyai kwenye equation. Mtu ambaye yuko 'ICU' anawezaje kweli kugombea Urais?
Labda hujaona clipp yake ya hivi karibuni... Ngoyai keshajichokea. The best for him now ni kujiandaa kiroho kwa safari inayofuata...
Kujiandaa kiroho
 
Duh! Wewe ndio umechemka kabisa kumleta Ngoyai kwenye equation. Mtu ambaye yuko 'ICU' anawezaje kweli kugombea Urais?
Labda hujaona clipp yake ya hivi karibuni... Ngoyai keshajichokea. The best for him now ni kujiandaa kiroho kwa safari inayofuata...
Ngoyai bado bado sana yupo yule mpiga push-up ndiyo yuko motoni sasa.
 
Kwa afya yake akustahili kabisa kujipa majukumu haya makubwa
 
Aisee!
 
Mengi ya uliyosema yametokea;

1. Onyo la vijana wa CCM kuwa makini. IMETOKEA, shina limekatwa. Hakuna tena sehemu matawi yanapoweza kujishikiza..!!

2. Baadhi ya watu hatutakuwa nao kimwili na kisiasa. Yaani watakuwa wametoweka. IMETOKEA. Shina lenyewe halipo kisiasa na kimwili..!!

3. Jeshi kuwa na ushawishi na halitokubali Magufuli aendelee kuwa Rais. IMETOKEA.. Japo lilimwacha akafanya uchafuzi ktk uchaguzi uliopita. Akajishindisha. Amekaa miezi mitatu tu akitawala kiharamu, akawa fixed...!

4. Jeshi hilohilo lilikataa katakata kuwakubalia wahafidhina wa "Magufulism" kutaka kuweka mtu wao baada ya kifo cha shina kuu wakishawishi katiba ivunjwe ili Samia S. Hassan (VP by then) asichukue nafasi yake ya Urais sawasawa na matakwa ya katiba. HAIKUTIMIA..

5. Tunaye Rais mpya, mwanamke Bi Samia S. Hassan. Aliingia kupitia uchaguzi haramu vilevile. Lakini hakuwa "supreme power" by then. Sasa ndiye RAIS - THE QUEEN.. Ana maamuzi ya mwisho juu ya lolote ktk nchi hii...

Let's hope kwamba atabadili baadhi ya desturi mbaya zilizoanzishwa/asisiwa, kusimamiwa, zikatekelezwa na kuachwa kama urithi (legacy) mbaya na hovyo kabisa kwa kizazi hiki nje ya utaratibu na Mwendazake Magufuli...

All in all mtazamo wako ulikuwa sahihi kwa over 90%. Tofauti imekuwa ni wakati tu wa kutimia hayo...

Hongera sana..
 
Bado Mashekhe wa Taasisi iliyosajiliwa rasmi kutolewa baada ya kufungwa miaka tisa ,aliewafunga sio raisi wala mchochezi aliewambia waknyee vikopo nae si waziri tena wanabaki kujipitisha kwenye mikutano lakini hawana lao jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…