Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Ulikuwa unaota ndoto za mchana !
 
"WATANZANIA TUMESHASEMA NA KUAMUA JPM NI MPAKA 2035.
Na mnavyokomalia hakai term ya pili ndio mnatupa mzuka na sisi wa TZ tukomaë nae mpaka term ya nne."Wao Watanzania mlikutana wapi na kuamua JPM ni mpaka 2035? acha kutumia kauli ya wingi na uko mwenyewe nyuma ya keyboard
 
Kuna watu wali prophesize vema kabisa kwenye huu uzi na wengine walionyeshwa kabisa mwisho wa magufuli ila alikosa washauri wa mapema it was too late!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…