Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Hayo makundi ni ya aina gani, maana Mzee Edward alipoondoka mbona hakuna kundi lililomfuata?

Hayo makundi ni ya maslahi tu, ni ya wakati wa kula tu wakati wa njaa humuoni Mtu.
 
Duh! Wewe ndio umechemka kabisa kumleta Ngoyai kwenye equation. Mtu ambaye yuko 'ICU' anawezaje kweli kugombea Urais?
Labda hujaona clipp yake ya hivi karibuni... Ngoyai keshajichokea. The best for him now ni kujiandaa kiroho kwa safari inayofuata...
Wewe sio Mungu, wewe ni maiti inayotembea.
 
Refu limejaa majungu,hira,upumbabu na takataka
 
Mkuu hizo ni ndoto za Alinacha za mchana kweupe rais ataongoza awamu ya 2 na kwa atakayofanya tutatammani tumuongeze mda tutampa miaka mingine 20 jmla iwe 20 rais gani ukiacha nyerere alifanya mambo makubwa kama haya?? Alofanya Magufuri??
 
Naona vijana wa "ULIPO TUPO" bado mnaota.
 
Mku inawezeka anamwekitia Mtu Ngoyai ni mwanasiasa anaweza kuejkiti vile awezavyo mwisho wa mpango tukamwona ni mzima kwenye afya tele.
Mungu ampe uzima tele Ngoyai
 
H
Hivi hao wanaoitwa wazoefu wamelusaidia nini taifa hili zaidi yakupiga nakulinda maslahi yao??
 
Wako
 
Matatizo yenu mnayaongelea saa ngap mana kila siku kuichambua CCM
 
1. Lowasa hawezi kugombea urais mkuu. Afya haimruhusu.

2. Kundi la Lowasa kwa sasa liko pamoja na Rais Magufuri

3. Kundi la kikwete halina sifa wengi wao ni wachafu sana.

4. Upinzani kwa sasa hawana mtu powerful wa kupambana na Rais Magufuri

Mtifuano mkali utakuwa 2025 na siyo 2020. Kwani 2020 Rais Magufuri atashinda kwa kura nyingi zaidi ya alizopata 2015.
 
acha porojo zako hakuna kitu kama hicho
magufuri chuma na nacho mpendea huwa hababaishwi mwanaume msimamo magufuri go go wanyoshe tu walizoea kuiba iba waumbue tu
 

Da,unajua siasa brother,endelea kuelimisha watu wa taifa lako.nakubaliana na wewe asilimia mia.endelea kusema kweli.NA KWELI WANANCHI HATUMUELEWI JIWE,CCM WENZAKE HAWAMUELEWI,WAFANYABIASHARA HAWAMUELEWI,VIONGOZI WA DINI PIA HAWAMUELEWI.WE WANT HIM OUT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…