Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

" Chakuzingatia tu, wakati huo (2020) kuna uwezekano baadhi ya watu hatutakuwa nao, kimwili au kisiasa, akiwemo Magufuli mwenyewe. Hapa ndipo namuona Lowassa akiibuka tena."

Sitashangaa ukitumiwa vijana uwaeleze ni vipi Magufuli hatokuwepo kimwili ama kisiasa come 2020

Kwa hiyo kuna ambao hawatakuwepo ila Lowasa yeye atakuwepo ? Huu uhakika umeutoa wapi ?

Wacha niweke akiba ya maneno tutaonana Nov 2020 kama na mimi nitabahatika kuwa hai.
 
Kweli binadamu tumetofautiana! Wengine wanaangalia namna aongoze mpaka 2035.
 
Mtaandika utumbo weeeeeeee, kisha mtaanza kuutoa huooo utumbo weeeeee, mkichoka kalaleni.
WATANZANIA TUMESHASEMA NA KUAMUA JPM NI MPAKA 2035.
Na mnavyokomalia hakai term ya pili ndio mnatupa mzuka na sisi wa TZ tukomaë nae mpaka term ya nne.
 
Mtaandika utumbo weeeeeeee, kisha mtaanza kuutoa huooo utumbo weeeeee, mkichoka kalaleni.
WATANZANIA TUMESHASEMA NA KUAMUA JPM NI MPAKA 2035.
Na mnavyokomalia hakai term ya pili ndio mnatupa mzuka na sisi wa TZ tukomaë nae mpaka term ya nne.
Kwani aliyeandika ni mkenya.
 
JPM atashinda kwa kishindo na ntapigia kura mapema kabisa.
 

Umeongea point ya msingi sana hii ngoja asubiri atatukanwa kama mtoto
 
Hivi mleta Mada umemuona lowassa siki za karibuni mpka useme jamaa atagombea urais??
 
 
Mkuu Quinine,
Bandiko lako sahihi kabisa .Naona wazee wa CCM wakiona sisi vijana wa mabadiliko tunamsimamo tofauti juu ya uongozi wa awamu hii, wanakuja na 'maombi' mengi kuwa awamu hii iongoze hata kwa mihula 8 yaani miaka arobaini mpaka 2050.

 
Nimesoma nikawa sikuelewi sababu ya kuandika kwa hisia zaidi. Zaidi sana nimekuona kama mtu usiejua unachoandika ulipodai Lowassa anaweza kuwa mgombea wa CCM 2020. Nikaacha na kusoma.
 
Hivi mleta Mada umemuona lowassa siki za karibuni mpka useme jamaa atagombea urais??
Ukishalewa uchu wa madaraka hata uwe na miaka 90 utajiona kijana, Mugabe ana 95 lkn bado alikuwa anataka kuendelea, kuna mwingine huko Afrika Magh hadi anasukumwa kwenye wheel chair.
 
Swali gumu sana hilo... Nilipata kuandika "yeye si tatizo, tatizo ni wale walafi waliomzunguuka ndio wanamuingiza chaka!!" Wamemkokota mpaka karibu na shimo la giza na matokeo yake si mema kwa nchi maana wataumia waliomo na wasiokuwemo... NAUONA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA UKITUNYEMELEA 😕 🙁
 
Hongera kwa kujenga ngonjera ya nchi ya kusadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…