Uwezekano wa mimba kuingia

Uwezekano wa mimba kuingia

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Habari za jioni wana jamii forum,
nina mpenzi wangu ambaye tumekubaliana kutofanya mapenzi hadi tutakapofunga ndoa ,
kutokana na nature tumejikuta tunajiingiza majaribuni na kuishia kukis, romance ,
sasa kwa bahati mbaya last weekend tulikutana faragha tukaanza touching kwa bahati mbaya cku hiyo nami nililuse control nahc alipenyeze uume wake but nilikua na chupi,kilichonishangaza nikahisi jamaa anakuja na kumaliza nikaogopa kujichek nimelowa chupi na sehem za ukeni kidogo

naomba ushauri inawezekana mimba imeingia.
 
kama ulikuwa kwenye siku hatari za kupata mimba hiyo lazima itakuwa mimba
 
kama ali do na siku zako zilika vibaya tayari \huenda mimba kutungwa ,jifunze kujicontrol you self for any environment.
 
me nina swali hivi mbegu za mwanaume zinawezapita hata kwenye nguo??let say mtu amevaa chupi,then skin tight na suruali je hata hapo zinapenya??najiulizaga kweli ya maswali.
 
Habari za jioni wana jamii forum,
nina mpenzi wangu ambaye tumekubaliana kutofanya mapenzi hadi tutakapofunga ndoa ,
kutokana na nature tumejikuta tunajiingiza majaribuni na kuishia kukis, romance ,
sasa kwa bahati mbaya last weekend tulikutana faragha tukaanza touching kwa bahati mbaya cku hiyo nami nililuse control nahc alipenyeze uume wake but nilikua na chupi,kilichonishangaza nikahisi jamaa anakuja na kumaliza nikaogopa kujichek nimelowa chupi na sehem za ukeni kidogo

naomba ushauri inawezekana mimba imeingia.

Dah! kumbe kuna haja ya kuvaa condom wakati wa romance? pole sana kama kama amekumimba bila kupanga, siku nyingine usivae bikin uwe unapiga kipensi cha jinsi coz huyo jamaa ni nouma!!
 
Mkuu Suprise, katika maelezo yako umesema ulihisi "anakuja kumaliza na kujicheck umelowa"..Je, yeye anasemaje?

Anyway, ndio kuna uwezekano kuwa ukawa umepata ujauzito(hasa kama ulikuwa siku hatarishi)..Mbegu za kiume/Shahawa/manii(Sperms) zinaweza kukaa kwa muda wa masaa machache katika nguo..hii haimaanishi kuwa zinauwezo wa kupenya ila zikiwa kama kimiminika(mf. maji), huweza kuwa na uwezo wa ksababisha ujauzito iwapo nguo ni nyepesi na kulowa.

Ni vyema kutogusa sehemu/mahali mbegu hizi za kiume zilipoangukia baada ya kutoka kwa mwanaume hii inaweza kuwa kucha, nguo, bafuni(esp. bathtub) n.k.

Ni vyema kufanya kipimo cha kutambua kama una ujauzito(UPT) ili kuwa na uhakika.
 
Du! Hiyo ajali tayari,sasa mlifika fikaje kote huko? Kama umesalimka hakikisha nxt time unavaa pampers na ch**p mazubuti vinginezo......utajibeba jamaa inaonekana ana usongo wa miaka
 
[COLOR=#ff0000 said:
Suprise[/COLOR];4976952]Habari za jioni wana jamii forum,
nina mpenzi wangu ambaye tumekubaliana kutofanya mapenzi hadi tutakapofunga ndoa ,
kutokana na nature tumejikuta tunajiingiza majaribuni na kuishia kukis, romance ,
sasa kwa bahati mbaya last weekend tulikutana faragha tukaanza touching kwa bahati mbaya cku hiyo nami nililuse control nahc alipenyeze uume wake but nilikua na chupi,kilichonishangaza nikahisi jamaa anakuja na kumaliza nikaogopa kujichek nimelowa chupi na sehem za ukeni kidogo

naomba ushauri inawezekana mimba imeingia.

Nimejaribu kusoma kwa makini maeleze yako kuna vitu vichache nimegundua (Unaweza kunisahihisha kwani lengo ni kukusaidia)

1. Wewe bado ni mdogo kiumri.
2. Unajaribu kujitetea sana ili uonekane huna kosa ndio maana unatumia sana neno kwa bahati mbaya.
3. Hauna uelewa wa elimu ya uzazi.

Malengo mliojiwekea ya kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni mazuri, hivyo ni vyema ukajiepusha na vishawishi vya kimapenzi hasa usipendelee kukaa sehemu zilizo faragha wewe na huyo mpenzi wako.

Kulingana na maelezo yako, sina uhakika sana kama uume wa mpenzi wako uliingia wote, ullingia nusu au uliishia tu kwenye nyama ya juu ya uke pasipo kuzama ndani.
Kama uume uliingia wote na wewe siku za mzunguko wako ni zile hatarishi basi jiandae tu kuwa mama, vinginevyo ondoa woga na wakati mwingine mjifunze kutembea na kinga hata kama nia yenu ni kutoshiriki mapenzi kabla ya ndoa(askari utembea na silaha hata kama hakuna vita).
 
ikikutokea tena hali kama hiyo chukua tindikali haraka mwagia huko kunako hizo mbegu zitakufa zote then hakuna cha mimba wala nini
 
me nina swali hivi mbegu za mwanaume zinawezapita hata kwenye nguo??let say mtu amevaa chupi,then skin tight na suruali je hata hapo zinapenya??najiulizaga kweli ya maswali.

Halafu ukazivua mtu akaingiza dudu lake ama akamwaga juu yake? Hata akimwaga juu ya chupi hakuna mimba hapo ..zile mbegu zikigusa uke wako na ww kama ndio upo kwenye siku yenyewe ujue kitu na box
 
next time kama upo kwenye siku yako ya hatare hakikisha unabeba condoms ama usiende kabisa
 
Back
Top Bottom