Lol!!!Kwani chupi lako lipo kama Net au chandarua cha Olyset.
hahahah Jamani siunajua chupi za sikuizi mwenzangu labda alivaa ile yenye uzi kama kamba yakiatu...Kwani chupi lako lipo kama Net au chandarua cha Olyset.
Habari za jioni wana jamii forum,
nina mpenzi wangu ambaye tumekubaliana kutofanya mapenzi hadi tutakapofunga ndoa ,
kutokana na nature tumejikuta tunajiingiza majaribuni na kuishia kukis, romance ,
sasa kwa bahati mbaya last weekend tulikutana faragha tukaanza touching kwa bahati mbaya cku hiyo nami nililuse control nahc alipenyeze uume wake but nilikua na chupi,kilichonishangaza nikahisi jamaa anakuja na kumaliza nikaogopa kujichek nimelowa chupi na sehem za ukeni kidogo
naomba ushauri inawezekana mimba imeingia.
[COLOR=#ff0000 said:Suprise[/COLOR];4976952]Habari za jioni wana jamii forum,
nina mpenzi wangu ambaye tumekubaliana kutofanya mapenzi hadi tutakapofunga ndoa ,
kutokana na nature tumejikuta tunajiingiza majaribuni na kuishia kukis, romance ,
sasa kwa bahati mbaya last weekend tulikutana faragha tukaanza touching kwa bahati mbaya cku hiyo nami nililuse control nahc alipenyeze uume wake but nilikua na chupi,kilichonishangaza nikahisi jamaa anakuja na kumaliza nikaogopa kujichek nimelowa chupi na sehem za ukeni kidogo
naomba ushauri inawezekana mimba imeingia.
me nina swali hivi mbegu za mwanaume zinawezapita hata kwenye nguo??let say mtu amevaa chupi,then skin tight na suruali je hata hapo zinapenya??najiulizaga kweli ya maswali.