Uwezekano wa Polepole kubadilishiwa majukumu na kutorejea Cuba ni mkubwa

Huenda ndugu Polepole atabadiridhiwa majukumu hivi karibuni na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador
Huenda hauna uhakika.

Huenda umeitunga hii habari.

Huenda umesikia mahali.

Huenda una info za ukweli.

Huenda unatuingiza Chaka.

Huenda wewe ni muongo.

ASANTE MKUU

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kwa bandiko hili hatabadilishwa hata Kama lengo lilikuwa kumbadilisha.
Mbona yale mabandiko yaliyotangulia uteuzi wa Makonda hayakubadilisha uteuzi wake? Au umesahau kuwa watu waliweka mabandiko ya utabiri hapa jukwaani kabla ya uteuzi wenyewe?
 
Pole Pole atakuwa amepamisi sana Tz, kuna kale kagheto kake na kale kakitanda kadogo ka kihuni kaliwafanya wahuni kumuona Pole Pole ni mwenzao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aise mbona sasa anawakataa wahuni.
 
Huenda ndugu Polepole atabadilishiwa majukumu hivi karibuni. Na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko, bali kuaga na kukabidhi ofisi.

Mda ni Mwalimu.
Ww una udini na ukanda, huyo polepole wako Mtasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…