Naomi john
New Member
- Feb 12, 2019
- 1
- 3
Habari wadau nilikua nahitaji kumiliki bajaji nna miliin 2 naomba mkopo kwa makubaliano na riba tutakayoongea pia nna nyumba kama atataka iwe dhamana naomba kama kuna mtu binafi wa kunikopesha mkopo kiasi cha milion tano kisha atabaki na kadi ntamlipa ndani ya miezi 8 namba yangu ni 0673766821 Niko Dodoma mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app