Naomi john
New Member
- Feb 12, 2019
- 1
- 3
hahahhahaaKikopeshana hela na wanawake nimeshashindwa. Mwisho wa siku najikuta nimemuoa bila kupenda maana lazima atashindwa kurudisha pesa
Teh teh teh... Kwa biashara ya kukopesha KE utamiliki Kijiji Bila kupenda!Kukopeshana hela na wanawake ndio kitu nimeshashindwa. Mwisho wa siku najikuta nimemuoa bila kupenda maana lazima atashindwa tuu kurudisha pesa
Nenda CRDB unalipa 20% ya bei ya Bajaji then nyingine wanakuongezea wao na utakua unapeleka elfu 98 kwa wiki kwa bajaji Moja. All the bestHabari wadau nilikua nahitaji kumiliki bajaji nna miliin 2 naomba mkopo kwa makubaliano na riba tutakayoongea pia nna nyumba kama atataka iwe dhamana naomba kama kuna mtu binafi wa kunikopesha mkopo kiasi cha milion tano kisha atabaki na kadi ntamlipa ndani ya miezi 8 namba yangu ni 0673766821 Niko Dodoma mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni Dodoma fika Benki ya Akiba pale Independence au muone CityBoy hapo hapo Jirani kwani ndiye ajent wa hizo Bajaj, pia hapo jirani kuna gereji za Bajaj utapata zilizotumika hata kwa 4.5mHabari wadau nilikua nahitaji kumiliki bajaji nna miliin 2 naomba mkopo kwa makubaliano na riba tutakayoongea pia nna nyumba kama atataka iwe dhamana naomba kama kuna mtu binafi wa kunikopesha mkopo kiasi cha milion tano kisha atabaki na kadi ntamlipa ndani ya miezi 8 namba yangu ni 0673766821 Niko Dodoma mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kweli.....acha kumkatisha mwanadada watu tamaa.Kama ni Dodoma fika Benki ya Akiba pale Independence au muone CityBoy hapo hapo Jirani kwani ndiye ajent wa hizo Bajaj, pia hapo jirani kuna gereji za Bajaj utapata zilizotumika hata kwa 4.5m
USHAURI
Biashara ya Bajaj kwa sasa si biashara tena na hasa kwa mtoto wa Kike.
Madereva wote wameshajipanga, hawatakuletea pesa uliyoipanga na km akifikia 15,000/ lazima siku za mapumziko atakuambia ni 2 (moja service pili mapumziko)
hakuna faida labda wewe uendeshe wewe mwenyewe mtoto wa Kike
All the best.Habari wadau nilikua nahitaji kumiliki bajaji nna miliin 2 naomba mkopo kwa makubaliano na riba tutakayoongea pia nna nyumba kama atataka iwe dhamana naomba kama kuna mtu binafi wa kunikopesha mkopo kiasi cha milion tano kisha atabaki na kadi ntamlipa ndani ya miezi 8 namba yangu ni 0673766821 Niko Dodoma mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia hiyo milioni kutafuta bodaboda ili izalishe bajajiHabari wadau nilikua nahitaji kumiliki bajaji nna miliin 2 naomba mkopo kwa makubaliano na riba tutakayoongea pia nna nyumba kama atataka iwe dhamana naomba kama kuna mtu binafi wa kunikopesha mkopo kiasi cha milion tano kisha atabaki na kadi ntamlipa ndani ya miezi 8 namba yangu ni 0673766821 Niko Dodoma mjini
Sent using Jamii Forums mobile app