Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu ni kocha wa soka aliyewahi kufundisha timu kadhaa ikiwemo Totenham Hotspurs, hivi sasa ni kocha wa PSG ya Ufaransa na sasa anapigiwa chapuo ya kufundisha Klabu ya Manchester United ya Uingereza.
Uzuri wa kocha huyu umepimwa kwa mafanikio yapi kutoka wapi?
Uzuri wa kocha huyu umepimwa kwa mafanikio yapi kutoka wapi?