Uwezo mkubwa wa biringanya kutibu upungufu wa nguvu kwa wanaume

Hakuna dawa ya nguvu za kiume, unatakiwa uwe sawa kisaikolojia,fiti kimwili na kiakili ,basi
 
Biringanya haiwezi kuongeza nguvu za kiume ni maneno ya uongo hayo. Kuna vyakula na dawa za kuongeza nguvu za kiume sio Biringanya haina uwezo huo wa kuongeza nguvu za kiume.
Anataka aongeze view youtube na kuuza biringanya zake,si unajua ukitaka kupata soko ya kitu chochote wewe sema tu inaongeza nguvu za kiume.
 
Biringanya haiwezi kuongeza nguvu za kiume ni maneno ya uongo hayo. Kuna vyakula na dawa za kuongeza nguvu za kiume sio Biringanya haina uwezo huo wa kuongeza nguvu za kiume.
Kwanini unasema biringanya haiwezi..tafiti zimeshafanyika?
 
Ushahidi Soma Hapa chini Faida ya Biringanya.
HEALTH BENEFITS OF EGGPLANT.jpg
 
Back
Top Bottom