HahahaaaaMabiringanya yatakwisha leo Kariakoo
Biringanya haiwezi kuongeza nguvu za kiume ni maneno ya uongo hayo. Kuna vyakula na dawa za kuongeza nguvu za kiume sio Biringanya haina uwezo huo wa kuongeza nguvu za kiume.Tembelea hapa Biringanya na nguvu za kiume
Anataka aongeze view youtube na kuuza biringanya zake,si unajua ukitaka kupata soko ya kitu chochote wewe sema tu inaongeza nguvu za kiume.Biringanya haiwezi kuongeza nguvu za kiume ni maneno ya uongo hayo. Kuna vyakula na dawa za kuongeza nguvu za kiume sio Biringanya haina uwezo huo wa kuongeza nguvu za kiume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabiringanya yatakwisha leo Kariakoo
Kwanini unasema biringanya haiwezi..tafiti zimeshafanyika?Biringanya haiwezi kuongeza nguvu za kiume ni maneno ya uongo hayo. Kuna vyakula na dawa za kuongeza nguvu za kiume sio Biringanya haina uwezo huo wa kuongeza nguvu za kiume.
Ushahidi Soma Hapa chini Faida ya Biringanya.Kwanini unasema biringanya haiwezi..tafiti zimeshafanyika?
Mpuuzi huyo hajuwi kile anacho kiandika anafikri watu wote hatujuwi Dawa na faida ya vyakula na matunda.Anataka aongeze view youtube na kuuza biringanya zake,si unajua ukitaka kupata soko ya kitu chochote wewe sema tu inaongeza nguvu za kiume.