Uwezo na bei ya Waterpump/pamp ya manemeka

Joined
Dec 8, 2013
Posts
94
Reaction score
10
Jamani nahitaji kujua bei ya waterpump aina zote mbili ya mguu na ile ya mkono ni sh.ngapi? na uwezo wa kuvuta maji inaweza kuvuta toka umbali gani? na ikiwa nina kisima cha maji chenye urefu wa mita 30 inaweza kuvuta maji kutoa nje? Naomba majibu kwa anayejua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…