Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Nina pesa nyingi sana kwenye makaratasi. Nina akili vizuri sana ila sina hela mkononi. Darasani nimekimbiza watu sana. Mawazo ninayo mengi na mazuri Sina vitendea kazi
Mawazo yamegeuka msongo wa mawazo. Kesho yangu sijui itakuwaje. Mtaji umekuwa kikwazo. Kipaji changu hadi Leo sijakijua. Sioni future kwenye elimu kabisa
Wakubwa zangu nyie mmetumia njia hipi. Mmefanikiwa kupitia nini? Mbona sioni taa ya kijani miaka 3 mbele? Mbona kwangu mtaji ni tatizo sana? Au tatizo sio mtaji?
Hivi kufanikiwa kunaanzaje?
Tusaidieni wanazengo kwa mawazo ya kutufungua kiakili ili na sisi tutoboe
Tupeni elimu
Sent using Jamii Forums mobile app