...Vizur sana mkuu,hiyo hali vijana wengi huwa tunapitia.
Kwanza kabisa,embu jitambue kwamaana jifahamu ww mwenyew...
- nini unataka\ unataka kuwa nani.
Pili,jijenge katka hali ya positive thoughts usiwe unafikiria mambo hasi ktk maisha yako hasa ktk mafanikio.
( If u hold negative thoughts about yrself at subconscious level,u will tend to experience negative realities in yr life and vice versa)
Tatu,jijengee utaratibu wa kujiongezea maarifa ktk kichwa chako,soma sana vitabu hasa vile ambavyo vinazungumzia mambo ya mafanikio mfno: Rich Dad poor Dad
Nne,tafuta fursa swala la mtaji sio matter sana,wapo watu wanapeana lakin hawana mawazo ya kutengeneza fursa so unaweza ukatafuta fursa then ukatafuta mtu mwenye pesa mkajoin mambo yakaenda,au andaa ata business plan zako vzur naamin wapo watu ambao utawapata waweze kuwekeza pesa zao kupitia business zako.
Tano,jitaidi kutafuta connection zaidi, achana na watu ambao hawakupi mchango wwote ktk maisha yako zaid ya kukudumaza tu kimawazo