Uwezo wa akili wa mtoto /binadamu

Tatizo sio maelezo tu ya kisayansi bali uhalisia wenyewe ni muhimu,kuna mifano hai juu hili suala?
 
Mmeona nondo hizi.

Sasa wewe endelea kufyatua katoto kamoja sijui wawili alafu uone kama hawajahamia kwa mama yao.
Kuna msemo mmoja ktk history unasema kwamba tuko hivi tulivyo kwa sababu wao walikuwa hivi. Sasa utaona jinsi ww ulivyo ndivyo babu na bibi zako mzaa mama walivyokuwa .Na kwa sababu tunaishi ktk zama za kizazi kilichoelimika ndiyo tunaona sasa ni kwa jinsi gani LISHE BORA NI MUHIMU SANA KWA AFYA YA UZAZI YA MAMA KABLA NA BAADA YA PUNDE TU MIMBA INAPOTUNGWA.
 
Tatizo sio maelezo tu ya kisayansi bali uhalisia wenyewe ni muhimu,kuna mifano hai juu hili suala?
Malizia mchango wako mkuu watu wapate ilmu.si unajua darasa siyo lazima kuwe na chumba chenye kuta nne. Au meza na viti.
 
Hatari sana nime enjoy SOMO hadi nkatamani ungeendelea kama....
 
Mkuu ,ww nime kuelewa sana tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…