Uwezo wa huyu mtu Bear Grylls ni wakawaida wapendwa au ni movie kama movie zingine tuu..

Uwezo wa huyu mtu Bear Grylls ni wakawaida wapendwa au ni movie kama movie zingine tuu..

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Ki ukweli kama hujawahi muona huyu mtu akifanya mabalaaa basi siku 1 ukiona mabalaa ya huyu jamaa utajua naongelea nini,Zamani eti niliskiaga ukiwa komando unapewa kisu na njiti 1 tu ya kiberiti halafu unapelekwa porini ukae mwezi (utoto bwana) ila kwa utoto ule nimekuja kuona zile story kwa huyu jamaaa.

Huyu mtu muingize pori lenye shida unazozijua HE WILL SURVIVE atakula na atakunywa,Hafi njaaa huyu jamaaa ana idea za kuishi sjui nini kitamtoa duniani zaidi ya sir God tu akiamua.

Kuna siku 1 nilimuonea huruma baada ya kuuvagaa balaa la Nyuki,aliumwa na nyuki kiasi kwamba uso uliumuka kama puto Hadi nikaanza kuogopa maana hata kama ni kazi sio kwa maumivu yale.

Anaumia sana kwenye michezo yake,

Anakula vitu vya ajabu hadi mtu unaweza ukashangaa

Nilichoka sana siku moja nilipomuona akiunywa mkojo wake mwenyewe kama maji yakunywa..

Hivi nikija kua mkubwa nikitaka kuwa kama huyu jamaa kuna chuo gani kinafundisha ujasiri wa namna hiiii eti bandugu

BEAR 3.jpg
BEAR4.jpg

BEAR 2.jpg

12B.jpg

Nimeona mahali huyu jamaa alikua mjeshi ki maukweliiiiiiii sasa sijui kilimsibu nini hadi kuingia kwenye mahatari haya,hata kama ndio passion aseee hii sasa ni kiboko
 
Ukifanya chochote unacho kipenda kinakuwa rahisi kwako
NI KWELI ila kwa huyu jamaa pamoja na urahisi ila anapitia magumu hadi unajiuliza ni pesa tu anatafuta au kuna jingine?
 
Huyu jamaa ni hatari sana, anapita sehemu hatari sana. Lakini naamini nyuma ya camera kuna madaktari waliokamilika kwa kila kitu,
 
Nimjeshi tena komando ila aliomba kustafu ndan ya British.sasa hivi anajifanyia mambo na kashiriki opereshen zakutosha.
 
Aliona Buibui kwenye Ice cream akasema eti "There is icec ream on my spider.."
Hahaa jamaa aliyoa ice cream akala spider..
 
Yote anayofanya mshkaji yamefanyiwa research na timu yake ambaye yuko nayo. Madhara yoyote anayokutana nayo ana uhakika wa kupata msaada kwa haraka zaidi. Situations zote anazojiweka ni kwa makusudi ili kukufunza wewe siku ukijikuta katika hali hiyo.
 
Ki ukweli kama hujawahi muona huyu mtu akifanya mabalaaa basi siku 1 ukiona mabalaa ya huyu jamaa utajua naongelea nini,Zamani eti niliskiaga ukiwa komando unapewa kisu na njiti 1 tu ya kiberiti halafu unapelekwa porini ukae mwezi (utoto bwana) ila kwa utoto ule nimekuja kuona zile story kwa huyu jamaaa.

Huyu mtu muingize pori lenye shida unazozijua HE WILL SURVIVE atakula na atakunywa,Hafi njaaa huyu jamaaa ana idea za kuishi sjui nini kitamtoa duniani zaidi ya sir God tu akiamua.

Kuna siku 1 nilimuonea huruma baada ya kuuvagaa balaa la Nyuki,aliumwa na nyuki kiasi kwamba uso uliumuka kama puto Hadi nikaanza kuogopa maana hata kama ni kazi sio kwa maumivu yale.

Anaumia sana kwenye michezo yake,

Anakula vitu vya ajabu hadi mtu unaweza ukashangaa

Nilichoka sana siku moja nilipomuona akiunywa mkojo wake mwenyewe kama maji yakunywa..

Hivi nikija kua mkubwa nikitaka kuwa kama huyu jamaa kuna chuo gani kinafundisha ujasiri wa namna hiiii eti bandugu

View attachment 1211366View attachment 1211367
View attachment 1211368
View attachment 1211370

Nimeona mahali huyu jamaa alikua mjeshi ki maukweliiiiiiii sasa sijui kilimsibu nini hadi kuingia kwenye mahatari haya,hata kama ndio passion aseee hii sasa ni kiboko
hapo naona kama ni Entertainment tu hakuna cha zaidi.
 
mzee wa ultimate survivor.

kuna moja amekamata nyoka akamchuna ngozi,kama bomba kisha akajaza mkojo katika hiyo ngozi ili aweke akiba akishikwa na kiu njiani.

sema siku hizi kuna vijana wengi wanafuata nyayo zake youtube,wanajiita primitive technology wanakamata na kula kila kitu ila kwa maandalizi.hata unaweza tamani.
 
Huyu ni british Ex commando anao ujasiri wa kiaskari na uwezo wa kutumia mazingira yaliyo nayo kuishi. Kumbuka anarekodiwa hivyo unayoona ni intertainment
 
Back
Top Bottom