Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hivi mnaomba mikopo katika mabenki ya kibiashara kwa sasa mnaipata mapema au inachukua muda kuliko ilivyokuwa siku za nyuma?
Hili ni swali lakini wakati huo huo ni utafiti usio rasimi kutokana na nilichokiona.
Je, hali kama hii kuna mtu humu imemkuta baada ya kuomba mkopo?
Tupe uzoefu wako na utueleze nini unadhani ni chanzo cha hali hii ikiwa umekutanana nayo.