Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hongera kwa ufafanuzi ila maumivu ya mkopo jaman si yakitotoMi kwa utafiti wangu mdogo, ni kwamba money circulation imeshuka sana kiasi kwamba ukivist mabenki yale yaliyokuwa yakifurika watu, siku hizi wako wachache mno. Hii inatokana na
1. Wale watumishi waliotumbuliwa kwa kutokuwa na vyeti halali na walikuwa na mikopo benki, Mabenki yameumizwa kwa hilo na kupelekea benki nyingi kujikuta zinaramba loss.
2. Ile issue ya serikali ya kuhamia Dodoma kama makao makuu ya nchi bila kuwepo maandalizi ya kisaikolojia nayo yamepelekea mabenki kupoteza mwelekeo hasa hasa yalioko Dar.
3. Kuna taasisi na makampuni na watu binafsi walichukua mikopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ili wapangishe kama ofisi na nyumba za kuishi, wamejikuta demand ikipungua. Mfano NHC walichukua mikopo na kujenga majengo makubwa kama yale ya morocco na Mbezi beach wakitegemea mashirika na taasisi za serikali zitayapangisha, zimejikuta hazina wateja lengwa kama zilivyo kuwa zinategemea demand kwa kuwa ofisi nyingi za umma zimehamia na zinaendelea kuhamia Dodoma. Ukizingatian majeno hayawezi kubebwa kupelekwa Dodoma kufuata demand.
Kutokana na hayo niliyo yaeleza hapo juu, mabenki sasa yamepwaya, na njia ambayo yanaiona ni rahisi kwa sasa ni kutafuta wakopaji walioko makazini wa chapuchapu ili kupambana na hii 'economic decline'
Kwahiyo with in 24 hrs ukiomba mkopo kama una address maalum. unaramba faster.
Off courseHongera ila maumivu ya mkopo si yakitoto
Mkuu, kwanza asante kwa maelezo yako.Msingi wa maswali yangu ni kutokana na mimi kuomba mkopo katika benki moja kubwa tu na iliyotangaza kushusha riba ila cha ajabu hii ni wiki ya 3 sasa mkopo haujaingia licha ya kuwa kila kitu nilikamilisha mapema.Mi kwa utafiti wangu mdogo, ni kwamba money circulation imeshuka sana kiasi kwamba ukivist mabenki yale yaliyokuwa yakifurika watu, siku hizi wako wachache mno. Hii inatokana na
1. Wale watumishi waliotumbuliwa kwa kutokuwa na vyeti halali na walikuwa na mikopo benki, Mabenki yameumizwa kwa hilo na kupelekea benki nyingi kujikuta zinaramba loss.
2. Ile issue ya serikali ya kuhamia Dodoma kama makao makuu ya nchi bila kuwepo maandalizi ya kisaikolojia nayo yamepelekea mabenki kupoteza mwelekeo hasa hasa yalioko Dar.
3. Kuna taasisi na makampuni na watu binafsi walichukua mikopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ili wapangishe kama ofisi na nyumba za kuishi, wamejikuta demand ikipungua. Mfano NHC walichukua mikopo na kujenga majengo makubwa kama yale ya morocco na Mbezi beach wakitegemea mashirika na taasisi za serikali zitayapangisha, zimejikuta hazina wateja lengwa kama zilivyo kuwa zinategemea demand kwa kuwa ofisi nyingi za umma zimehamia na zinaendelea kuhamia Dodoma. Ukizingatian majeno hayawezi kubebwa kupelekwa Dodoma kufuata demand.
Kutokana na hayo niliyo yaeleza hapo juu, mabenki sasa yamepwaya, na njia ambayo yanaiona ni rahisi kwa sasa ni kutafuta wakopaji walioko makazini wa chapuchapu ili kupambana na hii 'economic decline'
Kwahiyo with in 24 hrs ukiomba mkopo kama una address maalum. unaramba faster.
Bora maumivu yawe kwenye kulipa lakini sio mpaka kwenye kupewa huo mkopo.Hongera ila maumivu ya mkopo si yakitoto
maafisa wa mikopo ndo zao,wanataka kitu kidogo na bado mkopo wenyewe unachelewa kupata na vigezo unavyo sasa sijui maana yake niniMkuu, kwanza asante kwa maelezo yako.Msingi wa maswali yangu ni kutokana na mimi kuomba mkopo katika benki moja kubwa tu na iliyotangaza kushusha riba ila cha ajabu hii ni wiki ya 3 sasa mkopo haujaingia licha ya kuwa kila kitu nilikamilisha mapema.
Hivi sasa najiuliza tatizo ni benki husika au ni tatizo ni Maafisa mikopo kwakweli nashindwa kuelewa.
Imefika hatua naanza kujiuliza au kuna ujanjaujanja wa Maafisa mikopo ku-temper na hizi fedha za watu wanaoomba mikopo?
Au tuseme waombaji wamekuwa wengi kuliko uwezo wa Maafisa mikopo kuishughulikia?
Nimefuatilia sasa nimechoka maana wananipiga sound tu.
Ninapanga kuwalipua kwa mabosi wao maana imekuwa too much.maafisa wa mikopo ndo zao,wanataka kitu kidogo na bado mkopo wenyewe unachelewa kupata na vigezo unavyo sasa sijui maana yake nini
maafisa wa mikopo ndo zao,wanataka kitu kidogo na bado mkopo wenyewe unachelewa kupata na vigezo unavyo sasa sijui maana yake nini