Uwezo wa Msanii Rosa Ree Katika Staili ya Kufoka Foka Hip Hop Wawapoteza Marapa wa Kike Bongo

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51

Msanii Rosa Ree Jana ametoa wimbo mpya unaitwa Dow, wimbo huo kwa sasa umekuwa gumzo huko mitandaoni na Radio stations mbali mbali kitu kinachoonyesha kuwa habahatishi na amedhamiria kulibeba hili Game la Hip hop Bongo kwa Upande wa Wanawake....Alianza kiutani utani na Dude la Onetime, Kisha Up in the Air kabla hatujakaa vizuri akashusha MchagaMchaga na Sasa Dow....
Hapo nyuma tulikuwa tunajivunia Marap wa Kike kama Chemical, Tammy The Baddest na wengine lakini baada tu ya ujio wa Rosa Ree ni kama vile nyota zao zimefifia ....

Kwa sasa Rosa Ree ndio msanii Pekee wa Hip Hop kwa upande wa Wanawake Anayeshiriki Tamasha la Fiesta

Source:Mchambuzi Blog
 
Naona hapo hajatoa ulimi
Rosa Ree anajua sana..napenda wimbo wake up in the air

Huu Dow nautafuta sasa hivi
 
Nampenda sana ila apunguze matusi maana anawapa shida wenye vituo vya radio na tv kuedit matusi yake ,wengine wanaona isiwe shida hawapigi kabisa
 
Anatoka Arusha sio?Kama ndio basi promo ya clouds kaipata
 
Nyimbo Zenyewe Hazijulikani Halafu Mumfananishe Na Chemical
 
Huyu nae ni mwanamuzuki? Zaidi ya kurap mitusi sijaona chochote
 
Siwezi kusikiliza vipuuzi hivi, hata vipicha vyao ni upuuzi mtupu
 
She is badest female rapper... for this time
 
Queen of Dar hataki kubato bato (battle) na watoto, ,.wanamuita chemical.
 
Bora huyu anaonekana mzuri kuliko Chemical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…