Uwezo wa Ubongo na Jicho la mwanadamu

Uwezo wa Ubongo na Jicho la mwanadamu

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
566
Reaction score
316
Moja ya maswali magumu niliyoulizwa na my frend wangu ni kuwa binaadamu jicho lake lina megapixel ngapi?? Hii nikutokana nilimwambia jicho la binadamu ni mfano mzuri wa kamera ya simu yake (iphone 6) haikuishia hapo akauliza ubongo wa binaadamu una RAM , HDD na CPU ngapi kimakadirio?...tusaidiane kupeana majibu
 
Naona huu uzi wanaupita tu kimya kimya[emoji4] [emoji4]
 
Jimena said:
Sio wote waliubwa my dear wengine tulizaliwa

Nafaham kama wote tumezaliwa isipokuwa wazazi wetu Adam&Hawa
Lakini bado Mungu anahusika!
 
Kabda ya kupeleka dhana zako kwenye specification za pc

Jaribu kuji angalia interms of biological perspective .. Vutia picha utendaji kazi wa ubongo wako, macho, masikio, neurological systems, muscles, tissues, na hizo organs zako kiutendaji then uje kwenye hilo la akili... Baada ya hapo utajijibu kila kitu katika swali ulilo jiuliza
 
Back
Top Bottom